Msaada tafadhali,binti kagundua mme mtarajiwa anaigiza ulokole, kumbe .......!

hahaha haya maana nilitaka uomba nafasi ya upendeleo niwepo kwenye huo msafara .. je wameshafika???
Haaa haaaa,mazungumzo yanaendelea mpaka jion nitakuwa na habari kamili!
 
Haaa haaaa,mazungumzo yanaendelea mpaka jion nitakuwa na habari kamili!

ila nina wasi wasi walipokuwa hotelini jeni lazima aligawa tunda maana navyojua heshima ya wine hahahaha ... na hizo tatoo haziweze kuonekana hivi hivi na pia kwa mtu aliyedhamiria kufanya baya sidha kama ukilia ataacha
 
Wala jeny hajawahi kufanya hiyo kitu,bado mwari kbs mtoto wa watu!
Hata siku hiyo hakukubali kufanya kbs,naona jamaa aliamua kuairisha zoezi baada ya jeny kukataa na kuhofia labda angesema hata kwa mchungaji ambapo jamaa anaheshimika sn!
 
sawa wacha tumeze kama lilivyo .. lakini kama sikosei weekend hii ndo harusi je itakuwaje ??? na naamin kutakuwa na maandalizi fulani katika suala zima la shughuli ndo maana ujengaji wa hoja lazima uwe na vithibitisho fulani
 
Haaa haaa,hakuna uhakika wa harusi hapo,ngoja tusikilizie!
 
lakini isije kujengewa hoja laini
Hakuna cha hoja lain hapo,coz watu wenyewe ni watu wa mambo ya sheria za kuhusiana na mambo ya haki za binadamu jinsia na mambo ya ndoa so nina uhakika hawataruhusu jeny aolewe bila kupenda.
 
Hakuna cha hoja lain hapo,coz watu wenyewe ni watu wa mambo ya sheria za kuhusiana na mambo ya haki za binadamu jinsia na mambo ya ndoa so nina uhakika hawataruhusu jeny aolewe bila kupenda.

kuna kura ya veto itapigwa
 
Wala jeny hajawahi kufanya hiyo kitu,bado mwari kbs mtoto wa watu!
Hata siku hiyo hakukubali kufanya kbs,naona jamaa aliamua kuairisha zoezi baada ya jeny kukataa na kuhofia labda angesema hata kwa mchungaji ambapo jamaa anaheshimika sn!

sijasoma mawazo ya watu wengine tangu jana, huenda wamesha -shauri, kama narudia siyo mbaya.
wewe unaonaje ukamshauri huyo dada anaefahamiana na huyo binti, kuwa mumshauri huyo binti awasilishe hili suala kwa watu ambao wanaweza kuli handle sociologically- mimi nashauri aende ofisi ya ustawi wa jamii aonane na afisa ,amwezeze kutopendezwa kuolewa kwake na presha anayopata kwa ndugu,inaweza kusaidia.wasiwasi wangu ni kuwa huyu mume mtarajiwa ameshaonekana si mtu mzuri ktk jamii. amini "aliyezoea kunyonga kuchinja hawezi". sasa kumkataa tu huyu bwana anaweza kuja na kulipa kisasi kwa huyu binti. kwakuwa jambo bado linagubikwa na usiri, manake binti akipata madhara kwa huyu mume mtarajiwa, jamii itasikia wakati amesha athiriwa. ikiwa ustawi wa jamii wakijua, itakuwa vizuri, aidha wanaweza kumwonya huyo jamaa akae mbali na binti akimsogelea ndipo sheria itatumika.

sishauri aende polisi kwani kama jamaa ni muuza unga manake ataona ameumbuliwa , na atahalalisha "revenge"
 
Nimekuelewa Kindimba juu,tayari tumeshachukua hatua ambapo mpaka mda huu kuna watu wa kisheria wameenda kuongea na familia ya jeny ili kuweza kulihandle hili jambo bila kuleta madhara.
 
any updates cantalisia??
Yes broda,ni kwamba wawazi jana walielewa japo haikuwa rahisi na wamemsikiliza binti yao na mchungaji naye alikuwepo japo naye haikuwa rahisi kuelewa pia,muafaka ukawa jamaa aitwe asikilize kesi yake ili km anakanusha au kukataa ndio wajue nn kinafata.

Jamaa baada ya kupigiwa na mchungaji kuwa wanamhitaji,alifika jion sana na bahati nzuri walipomwambia walimuweka wazi kuwa hawataki haya mambo yaende polis bali naye awe mkweli ili wayamalize pale pale!

Jamaa alikubali yeye aliigiza kuokoka,na wale aliosema ni ndugu zake kweli sio ndugu zake akasema yeye hana ndugu alifukuzwa kijijin kwao na baba yake miaka mingi tangu akiwa na miaka 14 na hana wasiliano na ndugu yake yoyote ila hauzi unga.

Akasema aliamua kudanganya kwani anampenda sana jeny na akaomba asamehewe ili arusi iendelee,lkn mchungaji alikataa akasema hataweza kufugisha ndoa ya mtu aliyelidanganya kanisa na hawamfahamu kbs,hata km jeny atamkubali tena naye watamtenga kanisan.

Kwa upande wa jeny alimwambia hamhitaji tena na hakuna cha ndoa tena,wazazi walikuwa wanalia tu na kujutia walichokuwa wanataka kumfanyia binti yao.

Mwisho jamaa akasema anomba afikiriwe upya kwan amekiri kosa ila hakuna aliyekuwa tayari kumsikiliza tena, wale watu wa kisheria ndio wakajitambulisha kwake na kumuuliza mwaswali yao pale ikiwamo usalama wa jeny na familia yake,wakafikiana waende wakaandikishiane polisi ili km ataleta usumbufu wa aina yoyote basi sheria ichukue mkondo wake.
Kuhusu garama za harusi amesema yeye amesamehe kila kitu kwan ndio sababu ya hayo yote.

Usiku akamtumia jeny msg ikiwa na email adress kuwa anaondoka dar na km atabadili mawazo amtafute kwa hiyo email.
So mambo yameenda km hivyo kwa mujibu wa jeny niliyeonge naye asubuhi ya leo coz jana walimalizana usiku wa saa tano.
 
Reactions: BPM

hongera sana sister itabidi nikuweke kwenye kundi la wanaharakati ... nashukuru kwa kufanikisha
 
hongera sana sister itabidi nikuweke kwenye kundi la wanaharakati ... nashukuru kwa kufanikisha
Thx broda!ni mungu tu mwenyewe alionyesha njia,coz hakuwa kazi rahisi hasa kibinadamu so nashukuru hata mie kwa maushari kibao ya jf hadi nikapata wazo la kuongea na hao watu na mungu mwema wakakubali na kazi ikafanyika!
 
keep it up mama , naamini kuna wengi watahitaji msaada zaidi...

je muonekano wa jeny anajutia au yukoje kwa sasa ??? yuko happy kutua mzigo?
 
hali iwe mbaya zaidi kwan ameua?
 
Anayeolewa ni Jen, wala si wazazi au ndugu zake.Jen atiwe moyo na waambie wazazi wake kwamba hataolewa na na huyo tapeli. Shemeji yangu aliolewa na tapeli na sasa ameachwa kwenye mataa kwa zaidi ya mika 15 na hawezi olewa tena na mtu mwingine. Jeni akubali kulaumiwa kuliko fedheha
 
keep it up mama , naamini kuna wengi watahitaji msaada zaidi...

je muonekano wa jeny anajutia au yukoje kwa sasa ??? yuko happy kutua mzigo?
Thx broda,hata mie imefurahi sn kwa hili kufanikiwa.
She is very happy,yani anaogea mpaka analia,jmosi watakuja kwangu na wazazi wake coz wao hawanijui na wanataka kunifahamu.
Na jpili watakuwa na ibada ya shukran huko kanisani kwao,so wote wako happy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…