[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na wewe sikuhizi ni doctor???
Toka nizaliwe sijawahi tumia njia ya uzazi wa mpango, zaidi ya calendarNilisahau kukuuliza swali moja. Je kuna dawa za uzazi wa mpango au tuite za kuzuia mimba unatumia? Hizo zinaweza kuwa zinasababisha mabadiliko ya homoni hivyo kusababisha hayo maumivu hiyo kitu. All in all, I insist you go visit a gynocologist.
[emoji80] unafanyia kazi hospital gani!???
Sawa kumbe wwww mbishi.nenda hospital ukadanganywe.Mh! Kweli hii Jf ya viwonder
Toka nizaliwe sijawahi tumia njia ya uzazi wa mpango, zaidi ya calendar
utaenda na maji ......kwa haibu zisizo faa jari afya kwanza .......ujue usichukulie powa inaweza ika kucost dada......[emoji120] [emoji120] [emoji120] nenda hospitalHaya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]