Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Kuna utafiti ulitoka ulisema wanaume tuwasaidie wanawake kuzuia kansa ya matiti kwa Kuyanyonya, una muda gani hayajanyonywa?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nilisahau kukuuliza swali moja. Je kuna dawa za uzazi wa mpango au tuite za kuzuia mimba unatumia? Hizo zinaweza kuwa zinasababisha mabadiliko ya homoni hivyo kusababisha hayo maumivu hiyo kitu. All in all, I insist you go visit a gynocologist.
Toka nizaliwe sijawahi tumia njia ya uzazi wa mpango, zaidi ya calendar
 
Haya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
utaenda na maji ......kwa haibu zisizo faa jari afya kwanza .......ujue usichukulie powa inaweza ika kucost dada......[emoji120] [emoji120] [emoji120] nenda hospital

.......mi bapita tu
 
Back
Top Bottom