FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 915
- 638
TAFADHALI NAOMBA MSAADA WA KUTENGENEZEWA CONCEPTUAL FRAME WORK MODEL YA "TRADE UNION EFFECTIVENESS"
Naombeni msaada wenu please!
Thanks
Naombeni msaada wenu please!
Thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
conceptual framework huwa inategemea na title yako, kuna zilizona independent variable, intermediate variable na dependent variable nyingine huwa na mbili tuu independent na dependent so kwa title yako hiyo japo sina uhakika kama ndo title nzima ipo hivyo.
mana nhc kama kuna itu kime misi... unaweza ukanikosoa lakin... mana unaposema trade union effectiveness in what... so unatakiwa uonyeshe jinsi gai trade union inakuwa effectiveness na conceptual nzuri ni ile ya mchoro unao onyesha kulink kati ya hizo variable.
kwa maelezo na ushauri zaidi unaweza nicheki kwa namba hizi 0754 660061 au 0786 660061...
sio lazima kiwe na independent, intermediate na dependent variables mkuu,.. sio lazima nyingine huwa zina mbili tu independent variables na dependent variables only.. nyingine ndo huwa na hizo zote.. huko kwenye hesabu unako kwenda wewe ni model hizo na hizo hazi husiani na coneptual framework ila zina husuana na aina ya objective yako kama inahitaji model katika kupata majawabu unaweza ukawa na liner logistic regression, binary model, liner curve... au ukiona zote zime kataa unaweza uka compare katika independent T-test... na anova au ukiona huna namna unaweza fanya cross tabulation... unataka kumpeleka mbali mkuu.. hapo hakuna hesabu ni kuformulate tu idea ya title ili weze leta picture NOTE: co lazima uwe na variable zote tatu katika conceptual frame work ina tegemeana na tittle ya mhusika nipo tayari kukosolewaMkuu "effectivelines" ya kitu chochote lazima kina interlinkage ya independent,,intermediate na dependent variables ni brain-storming na intergration ya factors tuu hapo. Lazima ujue lengo la trade unionism yeyote (zinafahamika),lazima ujiulize ili trade union iwe effective inahutaji nini (independent variables),lazima ujue vitu gani vinachagiza uwepo wa trade unions na kuwepo au kutokuwepo kunaathiri vip trade husika(intermediate),pia lazima ujue vitu gani ni muhumu ambavyo vitatokana/kuzaa/kuendana/kutegemeana na dependend variables ili kupata effectivelines in cycles.Kihisabati X = independent factors/variables,Y = dependent factors with regards to X. Z = intermediate/externalities variables/factors.
Shukrani Mkuu kwa sms yako.. ila tatizo hii kitu kuna za aina mbili kuna ambayo huwa ni ya maelezo matupu na ya mchoro ila walimu wengi hupendenlea ya mchoro ambayo huwa ni rahisi kuielewa kuliko ya maelezo sasa hapa mkuu ni kitaka kutoa na mchoro kwei itakuaje ila cha muhimu ni kujua title yako kwanza ipo sawa kama ipo sawa inataka conceptual frame work ya aina gani iliyo na independent, intermediate na dependent variables au iliyo na independent na dependent tuuu, pili hizi variables huwa zinatoka kwenye objective zako za research yako so zile ndo zinazo kuja kutumika katika kutengeneza conceptual frame wor yakoya kazi.... a utakua kuzitumia katika kutengenezea questionnaire zakoMkuu hii kitu mpaka mpigiane simu!! Weka nondo zaidi wengine watanufaika pia.