CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kumekuwa na mkanganyiko ni lini wanafunzi wanaoendelea na masomo wanafungua shule. Mwanzo ilikuwa 29/09/2013. Sasa wanasema ni tarehe 12 October 2013. Website yao inaonesha hiyo tarehe 12/10/2010 ni kwa new students 2013/2014. Please help!