newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
kuna tatizo la jibu matakoni,limepasuka antibiotic ipii inafaa kukausha kidonda hiki fasta..
msaada please ..
Nenda duka la dawa kanunue "yuso" na gauze(gozi) na plasta, safisha vizuri kwa yuso then fanya dressing,baada ya hapo pata cloxacillin 500mg tds kwa siku 5, hapo ni kama ulivyosema uko mbali na hospital
mimi nimelipata kwapani halijapasuka ila limekaa kwenye misuli ya kwapa na gumu kweli....maumivu yake sijalala usiku kucha maana nikijigeuza tu naugulia.
Wewe nunua rob au vicks upake itapotea halafu meza strong antibiotic
Sasa siutumie morphine kuondoa maumivu mkuu?mimi nimelipata kwapani halijapasuka ila limekaa kwenye misuli ya kwapa na gumu kweli....maumivu yake sijalala usiku kucha maana nikijigeuza tu naugulia.
soma signature yangu 😉Sasa siutumie morphine kuondoa maumivu mkuu?
Signature au nick namesoma signature yangu 😉
signature.Signature au nick name