Msaada Tafadhali - Dawa ya Jipu/kidonda Antibiotic ipi?

Msaada Tafadhali - Dawa ya Jipu/kidonda Antibiotic ipi?

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
kuna tatizo la jibu matakoni,limepasuka antibiotic ipii inafaa kukausha kidonda hiki fasta..
msaada please ..
 
mkuu ,nahitaji msaada ,hospitali ziko mbali,so mtu anatumiwa dawa tu...
 
erythromycin nadhani.....kama kuna doctor atusaidie
 
Nenda duka la dawa kanunue "yuso" na gauze(gozi) na plasta, safisha vizuri kwa yuso then fanya dressing,baada ya hapo pata cloxacillin 500mg tds kwa siku 5, hapo ni kama ulivyosema uko mbali na hospital
 
mimi nimelipata kwapani halijapasuka ila limekaa kwenye misuli ya kwapa na gumu kweli....maumivu yake sijalala usiku kucha maana nikijigeuza tu naugulia.
 
Wewe nunua rob au vicks upake itapotea halafu meza strong antibiotic
mimi nimelipata kwapani halijapasuka ila limekaa kwenye misuli ya kwapa na gumu kweli....maumivu yake sijalala usiku kucha maana nikijigeuza tu naugulia.
 
Twanga kitunguu saumu kisha upake penye jipu.Na utafune pia tupande 2 kwa siku 5.Hapo mwili unafanya toxication.Pole
 
dawa ya jipu ni kulikamua mpaka utoe kiini halafu ndio utumie antibiotics na analgesics.mojawapo ya antibiotics ni kama mdau Preta alivyotaja
 
Last edited by a moderator:
mimi nimelipata kwapani halijapasuka ila limekaa kwenye misuli ya kwapa na gumu kweli....maumivu yake sijalala usiku kucha maana nikijigeuza tu naugulia.
Sasa siutumie morphine kuondoa maumivu mkuu?
 
Dawa ya jibu ni kulitumbua
Usaha inabidi uwe drained
Jipu lina usaha usaha ni cell za kinga ya mwili zilizokufa, bacteria waliokufa na wachache ambao walinusurika, maji na protein

Antibiotics zitazuia jipu lisiendelee kukua, kwa kuua vijidudu visababishi. ila usaha upo pale pale tena mbaya zaidi usaha always unatafuta sehemu ya kutoka
 
Back
Top Bottom