ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Abs = automatic break system nenda kafanye checkup kwenye systems za break lazima kuna tatizo ndio mana hiyo taa imewaka tena ni hatari kwako kama hiyo taa inawaka moja kwa moja bila kuzima.
Hongera mkuu unajitahidi kuweka kiwese naona bado ¼ tu tank iwe full[emoji125]
Sawa kabisa mkuu nikitoka kibaruani mapema nitawatafuta wataalamu. Naipenda JF. kwasababu ni tofauti sana na mitandao mingine umu tunapata msaada haraka. Big up.....Hiyo ya alama ya pili ni Matairi pengine yamepungua upepo na hakuna balance ya upepo Kati ya tairi na tairi
Ahaaaa mkuu eti unapongeza kwa wese [emoji705] mala moja kwa mwezi sio mbaya angalau inasaidia unapokuwa huna ela. Siunajua sisi vibarua vyetu havina grantee.Abs = automatic break system nenda kafanye checkup kwenye systems za break lazima kuna tatizo ndio mana hiyo taa imewaka tena ni hatari kwako kama hiyo taa inawaka moja kwa moja bila kuzima.
Hongera mkuu unajitahidi kuweka kiwese naona bado ¼ tu tank iwe full[emoji125]