Msaada tafadhali gari aina ya Corolla Spacio

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Kuna alama iliyojitokeza karibuni kwenye dashboard.
Nilimpa dreva gari ampeleke mtoto shule Geita lakini aliporudi ndo niligundua alama hizo yakwanza (ABS) yapili ([emoji3504][emoji3505] )kama picha inavyoonekana apo juu.

Naomba mnisaidie kutafsiri alama hizo na kunipatia ufumbuzi.

Natanguliza shukhrani.
IMG_20191001_075659.jpeg
 
Abs = automatic break system nenda kafanye checkup kwenye systems za break lazima kuna tatizo ndio mana hiyo taa imewaka tena ni hatari kwako kama hiyo taa inawaka moja kwa moja bila kuzima.

Hongera mkuu unajitahidi kuweka kiwese naona bado ¼ tu tank iwe full🏃
 
Nashukuru mkuu acha nifanye hivyo.
Abs = automatic break system nenda kafanye checkup kwenye systems za break lazima kuna tatizo ndio mana hiyo taa imewaka tena ni hatari kwako kama hiyo taa inawaka moja kwa moja bila kuzima.

Hongera mkuu unajitahidi kuweka kiwese naona bado ¼ tu tank iwe full[emoji125]
 
Hiyo ya alama ya pili ni Matairi pengine yamepungua upepo na hakuna balance ya upepo Kati ya tairi na tairi
 
Sawa kabisa mkuu nikitoka kibaruani mapema nitawatafuta wataalamu. Naipenda JF. kwasababu ni tofauti sana na mitandao mingine umu tunapata msaada haraka. Big up.....
 
Abs = automatic break system nenda kafanye checkup kwenye systems za break lazima kuna tatizo ndio mana hiyo taa imewaka tena ni hatari kwako kama hiyo taa inawaka moja kwa moja bila kuzima.

Hongera mkuu unajitahidi kuweka kiwese naona bado ¼ tu tank iwe full[emoji125]
Ahaaaa mkuu eti unapongeza kwa wese [emoji705] mala moja kwa mwezi sio mbaya angalau inasaidia unapokuwa huna ela. Siunajua sisi vibarua vyetu havina grantee.
 
Back
Top Bottom