Msaada tafadhali: Gharama za ujenzi wa banda hili

hilo ni bonge la banda. ila ukiachilia mbali gharama za banda nadhani ni vyema likawa ndani ya fency ya ukuta. kwa sababu za kiusalama, pia kuzuia upepo maana naona sehemu kubwa pembeni ni chickenwire tu.
 

Ahsante sana mkuu, Mungu akuzidishie maisha marefu ndugu yangu. Ushauri zaidi unaweza hitajika pindi project ya ujenzi itakapoanza
 
Mungu akubariki sana kwa mchango wako huu, ngoja tujaribu nasisi.
 
Mungu akubariki sana kwa mchango wako huu, ngoja tujaribu nasisi.

Habari Mama Joe! samahani kwa ususmbufu kwenye hizi thread za ufugaji wa kuku kuna siku niliona mchango wako, umeshusha nondo za chanjo zinazohitajika kwa kuku. Kuna mstari ulisistizia kuhusu dawa za chanjo fulani ulisema wapewe kwa masaa mawili tu kisha maji yabadilishe baada ya hapo. Kama unakumbukumbu na huo uzi naomba unishushie link yake hapa tafadhali. Ahsante sana
 
Habari nzuri, bila samahani huu hapa https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/117756-kwa-wafugaji-wa-kuku-wa-kisasa-2.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…