Msaada tafadhali: hizi ni dalili za ugonjwa gani

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,180
Reaction score
853
Kuamka umechoka sana, mapigo ya moyo kwenda kasi tofauti na kawaida yani siku nzima baada ya kufanya mapenzi usiku

Na hiyo hali huendelea siku moja hadi mbili mbele ....

Naombeni msaada hapo ... Je hii hali ni kawaida au?!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sio ugonjwa ni mabadiliko tu ya mwili....we unadhani kazi y kupiga mzigo niyakitoto hahahahahahahaah ni nomaaaa muangalie ng'ombe akipanda mara mbili kajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…