dumejm
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,180
- 853
Kuamka umechoka sana, mapigo ya moyo kwenda kasi tofauti na kawaida yani siku nzima baada ya kufanya mapenzi usiku
Na hiyo hali huendelea siku moja hadi mbili mbele ....
Naombeni msaada hapo ... Je hii hali ni kawaida au?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiyo hali huendelea siku moja hadi mbili mbele ....
Naombeni msaada hapo ... Je hii hali ni kawaida au?!
Sent using Jamii Forums mobile app