Msaada tafadhali, Inawezekana kuwa na account mbili CRDB bank?

Msaada tafadhali, Inawezekana kuwa na account mbili CRDB bank?

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
3,695
Reaction score
5,042
Habari!

Inawezekana kua na account mbili, bank ya CRDB. Zikimilikiwa na mtu mmoja?
 
Yeep inawezekana, me ninazo moja inaingiza salary ingine mambo zingine za mjini... zote zina same name na evrythin the same
 
Back
Top Bottom