Habarini wana JF...
Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la njano hizo mbili za bluu nisipoliweka kwenye mwangaView attachment 1208406View attachment 1208407View attachment 1208408
Mwambie asisahau kulipa 18% Mrahaba kwa serikali, TRA asiwasahau kuwapa chaoNgoja wakufuate pm
Habarini wana JF...
Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la njano hizo mbili za bluu nisipoliweka kwenye mwangaView attachment 1208406View attachment 1208407View attachment 1208408
Itakua madini hayoo mkuu, na kama hujaoa mke nipo hapa buree, tutumie wote hayo mabillion[emoji3] [emoji3]
Habarini wana JF...
Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la njano hizo mbili za bluu nisipoliweka kwenye mwangaView attachment 1208406View attachment 1208407View attachment 1208408
Grandidierite - $20,000 per carat
Hahaaa, wifi niungnishie basi I promise ntakua wifi mwema tutatumia wote hizo billions[emoji3] [emoji3]Na mimi ni wifi yako maana huyo ni kaka yangu kabisa wa damu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Madini yanachimbwa hayaokotwi,na yakidondoka yanajificha labda kama umeiba..
Huo ni urembo hakuna madini apo
Lazima awape chao,Mwambie asisahau kulipa 18% Mrahaba kwa serikali, TRA asiwasahau kuwapa chao
Upo sahihi mkuu. Na hiyo carat kumbe ni ndogo kuliko gram nashukuru Mungu nimepata connection maana wengine walisema eti nataka kutapeli watu..!! Jamani kwani mimi nimesema natafuta mteja humu jf??? Mi niliuliza tu ni aina gani ya madini au ni jiwe coz nililiokota airport. Samahani wote niliowakwaza.Grandidierite - $20,000 per carat
Mkuu mm ndo niliangusha hapo AirportUpo sahihi mkuu. Na hiyo carat kumbe ni ndogo kuliko gram nashukuru Mungu nimepata connection maana wengine walisema eti nataka kutapeli watu..!! Jamani kwani mimi nimesema natafuta mteja humu jf??? Mi niliuliza tu ni aina gani ya madini au ni jiwe coz nililiokota airport. Samahani wote niliowakwaza.