Msaada tafadhali: Jiwe hili lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu?

Msaada tafadhali: Jiwe hili lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu?

Ila watu wa humu jf wananiachaga hoi sana. Anyway siku si nyingi ntawapa mrejesho ili iwe fundisho kwa wote mnaobeza watu wanapoomba ushauri na msaada wa jambo flani.
Jamaa mimi sijakubeza bana si unajua ehhh ehhh achana nao hao .....
 
Grandidierite - $20,000 per carat
1568725097620.png

hii ndo hiyomkuu cheki comment inayofuata
 
Pole kwa ukweli huu !Hiyo sio kito cha thamani iko kwenye process ,haina thamani kiivyo hiyo naikadilia gram 20 thamani yake haizidi Tshs 10,000, inaitwa volcanic glass
nauhakikawewe sio mpigaji ila hiyo hutumika sana kupigia watu wageni kwenye biashara
1568725610124.png
 
View attachment 1209838
Hahahaha, atapata hela za nauli ya bodaboda kurudi home baada ya mizunguko mingi.
 
Nashukuru Mungu haya madini nimeyajua leo baada ya kwenda kwa wataalamu wamesema yanaitwa Grandidierite.
Ingekuwa grandidierite hao wataalaam wangeanza wao kufanya biashara na wewe. Hilo chupa tu...

Grandidierite is an extremely rare mineral and gem that was first discovered in 1902 in southern Madagascar.[3] The mineral was named in honor of French explorer Alfred Grandidier (1836–1912) who studied the natural history of Madagascar.[1]

Grandidierite
260px
 
Kweli kabisa
 
Mumy mbona tunaachana kisa chupa ya sprite!!

Tafadhali, kama shida ni chupa ya sprite ntakuletea kipande
Weeee, eti chupa ya sprite hiyo nna macho ujuee,hiyo wanaita mali[emoji1] [emoji1] , sikutaki wewe namtaka huyu billionea to be byee
 
Ingekuwa grandidierite hao wataalaam wangeanza wao kufanya biashara na wewe. Hilo chupa tu...

Grandidierite is an extremely rare mineral and gem that was first discovered in 1902 in southern Madagascar.[3] The mineral was named in honor of French explorer Alfred Grandidier (1836–1912) who studied the natural history of Madagascar.[1]

Grandidierite
260px

Asante mama kwa ilmu
 
Kwani kokoto sio madini?
ni madini ilasio kito cha thamani ili jiwe liitwe kito inabidi
-liwe na ugumu walao kuzid 3.5 moh scale (not easy to break)
-liwebeautiful
-liwe naspecific structure za mpangilio wa molecule
-liwe rare (gumu kupata)
 
Habarini wana JF...

Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la njano hizo mbili za bluu nisipoliweka kwenye mwangaView attachment 1208406View attachment 1208407View attachment 1208408
Kinachotofautisha ni THAMANI YAKE SOKONI. Mawe,kokoto,mchanga yote ni MADINI mkuu. Peleka kipande kidogo kwa wataalamu wa MADINI watakujulisha umeokota nini.
Isije kuwa umeokota MAJINI mkuu
Pole kwa kuokotaokota vitu ovyo ovyo. Si kila king'aacho ni........
 
Back
Top Bottom