BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 916
Jamaa mimi sijakubeza bana si unajua ehhh ehhh achana nao hao .....Ila watu wa humu jf wananiachaga hoi sana. Anyway siku si nyingi ntawapa mrejesho ili iwe fundisho kwa wote mnaobeza watu wanapoomba ushauri na msaada wa jambo flani.
Grandidierite - $20,000 per carat
Du shekhe nimekuelewa...[emoji23]Pole kwa ukweli huu !Hiyo sio kito cha thamani iko kwenye process ,haina thamani kiivyo hiyo naikadilia gram 20 thamani yake haizidi Tshs 10,000, inaitwa volcanic glass
nauhakikawewe sio mpigaji ila hiyo hutumika sana kupigia watu wageni kwenye biashara
View attachment 1209838
Hahahaha, atapata hela za nauli ya bodaboda kurudi home baada ya mizunguko mingi.Pole kwa ukweli huu !Hiyo sio kito cha thamani iko kwenye process ,haina thamani kiivyo hiyo naikadilia gram 20 thamani yake haizidi Tshs 10,000, inaitwa volcanic glass
nauhakikawewe sio mpigaji ila hiyo hutumika sana kupigia watu wageni kwenye biashara
View attachment 1209838
Itakua madini hayoo mkuu, na kama hujaoa mke nipo hapa buree, tutumie wote hayo mabillion[emoji3] [emoji3]
Ingekuwa grandidierite hao wataalaam wangeanza wao kufanya biashara na wewe. Hilo chupa tu...Nashukuru Mungu haya madini nimeyajua leo baada ya kwenda kwa wataalamu wamesema yanaitwa Grandidierite.
Kweli kabisaIngekuwa grandidierite hao wataalaam wangeanza wao kufanya biashara na wewe. Hilo chupa tu...
Grandidierite is an extremely rare mineral and gem that was first discovered in 1902 in southern Madagascar.[3] The mineral was named in honor of French explorer Alfred Grandidier (1836–1912) who studied the natural history of Madagascar.[1]
Weeee, eti chupa ya sprite hiyo nna macho ujuee,hiyo wanaita mali[emoji1] [emoji1] , sikutaki wewe namtaka huyu billionea to be byeeMumy mbona tunaachana kisa chupa ya sprite!!
Tafadhali, kama shida ni chupa ya sprite ntakuletea kipande
Weeee, eti chupa ya sprite hiyo nna macho ujuee,hiyo wanaita mali[emoji1] [emoji1] , sikutaki wewe namtaka huyu billionea to be byee
Amechoka ya cocacola [emoji23]
Ingekuwa grandidierite hao wataalaam wangeanza wao kufanya biashara na wewe. Hilo chupa tu...
Grandidierite is an extremely rare mineral and gem that was first discovered in 1902 in southern Madagascar.[3] The mineral was named in honor of French explorer Alfred Grandidier (1836–1912) who studied the natural history of Madagascar.[1]
ni madini ilasio kito cha thamani ili jiwe liitwe kito inabidiKwani kokoto sio madini?
Moldavite sio kwamba ina kuwa na greenish, nishawahi ona za kijani hivi (leaf green)Hiyo ni moldavite inatokana na volcanic eruption
Kinachotofautisha ni THAMANI YAKE SOKONI. Mawe,kokoto,mchanga yote ni MADINI mkuu. Peleka kipande kidogo kwa wataalamu wa MADINI watakujulisha umeokota nini.Habarini wana JF...
Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la njano hizo mbili za bluu nisipoliweka kwenye mwangaView attachment 1208406View attachment 1208407View attachment 1208408
Ebu niwe serious, umeambiwaje kwani?, ni chupa amaNgoja niuze hii chupa nilete posa... [emoji16]