Msaada tafadhali: Jiwe hili lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu?

KWA TAARIFA TU: Hata KOKOTO na MCHANGA ni madini (by definition) so punguza shobo
 
Ila watu wa humu jf wananiachaga hoi sana. Anyway siku si nyingi ntawapa mrejesho ili iwe fundisho kwa wote mnaobeza watu wanapoomba ushauri na msaada wa jambo flani.

Google uangalie ilo jina na thamani yake pia uangalie aina za madini tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…