Kidasa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 309
- 108
Wakuu wa JF,nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbua,ipo hivi:
1.Nikikosa usingizi usiku kwa kiwango kisichotosha,ujue kesho yake nitashindwa kufanya kazi kabisa,unless ninywe maji mengi sana,hata hivyo mwili wangu utakuwa katika khali ya ajabu sana.
2.Mimi nasoma,naweza nikalala vizuri tu,nikaamka saa 4.30 asubuhi kusoma kiukweli siwezi kuunganisha,inabidi atleast saa 12 asubuhi nirudi tena kulala.Nisipofanya hivyo mwili utakuwa katika khali mbaya sana.
3.Kwa khali hii imenifanya nifirie nitakuwa na ugonjwa wa BARIDI YABISI-RHEUMATISM.