Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
- Thread starter
-
- #281
i see ,huyu mwanamme ni muoga na ni wa tofauti pole zake .
Naomba contact za hyu Mdada.
Huyu dada alishindwa tu kumsoma jamaa. Jamaa alikuwa na shida ya kunywa maziwa na siyo kufuga ng'ombe. Kosa alilofanya huyo dada ni kugawa maziwa kwa jamaa akitegemea kuwa kwa kufanya hivyo atamshawishi jamaa afuge ng'ombe.
hata hivyo,mwanamke akikuzidi kipato, anakuwa na wivu zaidi. Tatizo dogo utaambiwa TOKAA KAMA ULIVYOKUJAA!
Huyu dada alishindwa tu kumsoma jamaa. Jamaa alikuwa na shida ya kunywa maziwa na siyo kufuga ng'ombe. Kosa alilofanya huyo dada ni kugawa maziwa kwa jamaa akitegemea kuwa kwa kufanya hivyo atamshawishi jamaa afuge ng'ombe.
Habari zenu wapendwa,
Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule alienda kikazi,wakapeana kontakt, na mawasiliano yakaendelea na wakawa wapenzi.
Kwa kipindi cha miezi minne ya mahusiano yao hakuna aliyekua anajua kwa mwenzie,basi wakapanga jamaa atakapokuja dar wakaoneshane makwao,basi jamaa akarudi dar ijumaa iliyopita km kawa wakakutana na jmosi jamaa kampeleka mdada kwake tabata wakashinda huko wakapika na kupakua.
Jpili mdada naye akampeleka jamaa kwake maeneo ya Sinza hapo ndio balaa lilipoanzia kwan muda wote wakiwa pale yule mkaka alikuwa hana raha mwenzie akamuliza kulikon mbona ulikuja vizuri,yy akamuuliza pale anaishi na nani akamwambia mbona nilishakwambia naishi peke yangu.
Akamwomba amwonyeshe slip yake ya mshahara mdada akapigwa butwaa ila akamwonyesha kumbe kaharibu jamaa kanyanyuka na kuondoka akiwa amekasirika mdada hakumwelewa akambembeleza bila mafanikio,usiku wake jamaa akamtumia bint msg kuwa hamtaki tena,kwa sababu anahisi huyo mdada atamtawala maishani kwa vile kwanza ana kipato kikubwa,na ameshajijenga sana kimaisha,hivyo ni rahisi yeye kutokuwa na sauti ndani ya nyumba,au huyo dada anaweza kumwaga wakati wowote na kutoka na wenye uwezo km yy.
Mpaka ninavyoandika huu uzi jamaa hapokei simu na jana kaondoka kurudi mwanza,dada watu kachanganyikia alishampenda jamaa kupita kiasi hata hajui cha kufanya!
Asa mi nauliza hivi nyie wanaume hivi binti kuwa na kipato kikubwa kuliko mwanaume ni kweli ni tatizo kwenye mahusiano?
Na dada afanyaje ili jamaa aelewe na waendelee?
Huyo binti sio wewe Cantalisia?
Mapenzi hayaangalii kipato hata siku moja!Watu huwa tunapendana jinsi tulivyo, mrefu, mweusi, mweupe, mfupi, mnene, mwembamba, mrefu, maskini, tajiri, zeruzeru, mpole, mkali nk Hali ikijitokeza kama hivi ujue hakuna mapenzi hapo.
Kwa hiyo mwanamke ndo anafaa kutimuliwa sio?? Napata picha matendo myatendayo in most cases sio mazuri ndo maana mnatafuta power na kutawala ili muyafiche!! Kwa nini uwazie kufukuzwa na usiwazie kuongeza maujanja na efforts zaidi ili mporomoshe mjengo like wa NSSF kama alivyosema Eiyer?? Mwagwaya challenges nyie......
Asante mkuu,kuna watu humu hawaelewi chochote zaidi ya misimamo yao ya kimfumo dume tu!
No am not the one!ila ni mtu wangu wa karibu sn!

haya bhana mi nimekubali we mbeijing kweli...ila tuachage ushabiki hivi wamama wa TAMWA kuwaoa si mtihani huo kama wanayosema na kuamini wanafanya ndoani akyamungu itakuwaje mi cjui humo ni soo....anzisha thread tutachangia hata kama ukisepa! Mi cfatilii nyendo zako usimchukue totoo bure! Sema nakuwa sensitive kwenye ishu kama hzi zinazoonekana kandamizi nione mwasemaje upande wa pili...ila kingine wengi wenu huwa mnawaburuza akina sie mkipata mahela bhana...labda we haumo(ila huo ubeijing uliojivisha nishaogopa) mamaaa kazi ipo
Jamaa noma...! Mke wako akiteuliwa kuwa Asha-Rose Migiro utamwacha? It's just a matter of logical thinking.
Wanainteligensia wapo kazini mdogo wangu, labda wanakufahamu ka sio kukufananisha lol!!!
Wananifananisha!Nishajibu sn kwa co mie km wanalazimishia kimpango wao!cha msingi watoe yaliyo miyoyon mwao,mie niko hapa kupata maoni na mitazamo yao ili hata nikimfungulia shost huu uzi aamin jinsi kulivyo na tofauti kati ya mwanaume na mvulana!
Si ndo maana ya kupika na kupakuaKwa hiyo jamaa amesha kula mzigo tayari?