Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Nawewe umedumaa vilevile ndo maana hauelewi hata kiswahili,Umeona sentensi hii sentensi nilio iandika hapa
Na jee akioa mke mwenye kipato cha kawaida na baadaye bibie mambo yakawa safi kipato kikawa maradufu jamaa anakimbia tena duuuuuu-----------------!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii inajibu swali lako lakuwa ninalenga kutengeneza pesa kuliko huyo dada. Usisome na kukimbilia kuandika tafakari kwanza .

Napia lengo la comment yangu syo kumzidi mtu kipato nina ongelea mtu ambaye anawaza kesho siyo wewe unae waza juzi, Niwazi kwamba vision kwako ni msamiati, cha saana Utaoa Barmade au beki 3 coz ndo unawazidi kipato.
 
Shikamoo babu,
Asante kwa kunisaidia coz watu wamening'ang'ania mbaya,
Dah,hili la kuwa salio linasomaje, ngoja nimwombe ruhusa mwenyewe akiniruhusu nitaiweka lol!
Weka tu, kwani anajua umerusha thread JF? Isitoshe mbona hatumjui? Kama umetoa siri kuwa kitumbua chake jamaa alishakitafuna, utashindwaje kutoa siri ndogo ya kamshahara?
 
Duh! hii mbona imekaa kisharishari?:hatari:
 
Weka tu, kwani anajua umerusha thread JF? Isitoshe mbona hatumjui? Kama umetoa siri kuwa kitumbua chake jamaa alishakitafuna, utashindwaje kutoa siri ndogo ya kamshahara?
Babu anajua km nimetoa sred,
Ila kwa ufupi yeye anafanya Internation NGO,na yuko kitengo cha Finance,
Kanambia niishie hapo nictaje mshahara wake.
 
Babu anajua km nimetoa sred,
Ila kwa ufupi yeye anafanya Internation NGO,na yuko kitengo cha Finance,
Kanambia niishie hapo nictaje mshahara wake.
Mwambie siku nyingine arushe sredi mwenyewe ili tumuulize mwenyewe. Kama anafanya kwenye NGO halafu anaogopa kutaja mshahara wake, ndio nini sasa....... Nyambaf zake.
 
Mwambie siku nyingine arushe sredi mwenyewe ili tumuulize mwenyewe. Kama anafanya kwenye NGO halafu anaogopa kutaja mshahara wake, ndio nini sasa....... Nyambaf zake.
Khaaaaaa!
Usijali babu jana alisoma na namna nilivyoshambuliwa,
Mpaka kanionea huruma jion lzm nimshawishi ajiunge japo aliogopa sn alivyoona baadhi ya watu walivyotoa mapovu!
 
My sisy najua majukumu tu yalikubana au ulikuwa mitaa yako chit-chat!
Wala hujakosea kbs,coz ana dalilizote za kuwa bado mvulana na hajiamin kbs!

dah! Jitahidi utuletee season2 ya hii kitu. Natamani kujua mambo yataendeleaje. Lol
 
dah! Jitahidi utuletee season2 ya hii kitu. Natamani kujua mambo yataendeleaje. Lol
Usijali sisy,nitaileta coz shost kakomaa anataka amfuate huyo jamaa huko mwanza akajue mbivu na mbovu huko huko,
Akirudi tu lzm nije na pati tuu yake.
 
Usijali sisy,nitaileta coz shost kakomaa anataka amfuate huyo jamaa huko mwanza akajue mbivu na mbovu huko huko,
Akirudi tu lzm nije na pati tuu yake.
Kwahiyo Mwanza unaenda lini?
 
hivi Canta una ruksa maalum kumesema mkasa wa binti hapa jamvini maana sitaki baadaye urudi na manundu usijekosa mume bure! ohoo😛oa

mkuu umepotea sana na ubavu pia siuoni kitambo ... niaje??
 
Babu anajua km nimetoa sred,
Ila kwa ufupi yeye anafanya Internation NGO,na yuko kitengo cha Finance,
Kanambia niishie hapo nictaje mshahara wake.

C nakumbuka watu walishasema wamama wa finance ni ngumu kuwa nao karibu heri angekuwa mwalimu ahahahah
 
C nakumbuka watu walishasema wamama wa finance ni ngumu kuwa nao karibu heri angekuwa mwalimu ahahahah
Haaa haa haaa,
Hayo maneno ya watu hayana ukweli wowote bwana!
Mbona wengi tu wameolewa?
 
Haaa haa haaa,
Hayo maneno ya watu hayana ukweli wowote bwana!
Mbona wengi tu wameolewa?

nadhani wanakuwa wagumu na pia ni watu wa budget kali kwani hata ndani naamini wanakuwa wakaguzi wa nddani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…