Cyclone
Member
- Nov 19, 2011
- 71
- 14
Wewe pia ni wale wale tu tofauti ni kuwa unaamini kuwa at some point utakuwa na hela kama huyo mwanamke. Kwa hiyo in principle huamini kama ni sawa mwanamke kumzidi hela mwanaume. Labda nikuulize swali hili, Je kama umejaribu kutafuta hela kwa kadri ya uwezo wako lakini mwisho wa siku mwanamke anazidi kupaa na wewe unazidi kudidimia itakuwaje?? Maana isichukuliwe kuwa kila ndoto unayokuwa nayo lazima itimie.
Nawewe umedumaa vilevile ndo maana hauelewi hata kiswahili,Umeona sentensi hii sentensi nilio iandika hapa
Hii inajibu swali lako lakuwa ninalenga kutengeneza pesa kuliko huyo dada. Usisome na kukimbilia kuandika tafakari kwanza .Na jee akioa mke mwenye kipato cha kawaida na baadaye bibie mambo yakawa safi kipato kikawa maradufu jamaa anakimbia tena duuuuuu-----------------!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Napia lengo la comment yangu syo kumzidi mtu kipato nina ongelea mtu ambaye anawaza kesho siyo wewe unae waza juzi, Niwazi kwamba vision kwako ni msamiati, cha saana Utaoa Barmade au beki 3 coz ndo unawazidi kipato.