C nakumbuka watu walishasema wamama wa finance ni ngumu kuwa nao karibu heri angekuwa mwalimu ahahahah
Khaaaa,nadhani wanakuwa wagumu na pia ni watu wa budget kali kwani hata ndani naamini wanakuwa wakaguzi wa nddani
Mh!Na haya nayo yamo!Basi kazi ipo!
Khaaaa,
Inamaana wataingiza uprofesheno wao mpaka ndani ya nyumba?
Hizi mbwembwe tu za watu bwana!!
Hata km,ila sio wote jaman lol!always watu wanaishi kwa practical ....
Hata km,ila sio wote jaman lol!
hili nadhani limo akilini mwa wengi sijui utalibadili vipi?
Hilo ndio tataizo la wengi,lakini histori uhukumu watu
Hilo ndio tataizo la wengi,
Kwann usiangalie pale ulipokuta na ukaanzia hapo hapo?
Maisha Kazi kweli kweli!C hili ni gumu wengi huishi kutokana na histora na si wemaia ya ulikotoka maumivu na furaha na mara nyingi huchukuliwa taadhari kwa ubay
Maisha Kazi kweli kweli!
hilo jamaa noma kwel cjui limekulia wap hata kuuliza wanaendeleaje hamna
Dah!hapa kila mtu na akili yake yakimkuta anapambana nayo ukishindwa nduki kali lol!hapo unadhani nini kifanyike ?? ugumu umeuona
Tatizo ni kwamba nafasi ya mke na suala zima la haki ni subjective, yaani hakuna standard kwa hiyo namna wewe unavyoiangalia ndoa unaweza kuona ni sawa kabisa mke kuwa level sawa na mume lakini kwa mwingine asione sawa. Na lawyers wengi wa kike ndoa zinawashinda kwa sababu generally wanaume wengi kama sio wote wanaamini kuwa wana mamlaka juu ya mke, kitu ambacho lawyers hawakubali maana wao wanaamini ndoa ni partnership, na hapo ndio tatizo linapoanzia Upooooo?
Wewe nadhani utakuwa loya tu lol. haki ya nani vile nina uhakika wa 99%Sasa hapo tatizo ni u-lawyer au tatizo ni la mwanaume mwenyewe! Honestly, kwani nyie mnapenda kuishi na mwanamke anayezitambua haki zake?? Why? Maisha yenu ni sawa na wale raia waoga hata wakimuona polisi wanaanza kutetemeka!
Khaaaaaa!
Usijali babu jana alisoma na namna nilivyoshambuliwa,
Mpaka kanionea huruma jion lzm nimshawishi ajiunge japo aliogopa sn alivyoona baadhi ya watu walivyotoa mapovu!
C nakumbuka watu walishasema wamama wa finance ni ngumu kuwa nao karibu heri angekuwa mwalimu ahahahah
Wewe nadhani utakuwa loya tu lol. haki ya nani vile nina uhakika wa 99%
Nishapoa mamito,Pole kwa mashambulizi aisee, hao watu wala wasikudiscourage na hiyo allergy yao ya kitradition!!! 'Me' ni jinsia tu tena wengi wao ndo wanyanyasaji, hivi unadhani waloanzisha mtindo walibwata ni wajinga??