Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

nadhani wanakuwa wagumu na pia ni watu wa budget kali kwani hata ndani naamini wanakuwa wakaguzi wa nddani
Khaaaa,
Inamaana wataingiza uprofesheno wao mpaka ndani ya nyumba?
Hizi mbwembwe tu za watu bwana!!
 
Hilo ndio tataizo la wengi,
Kwann usiangalie pale ulipokuta na ukaanzia hapo hapo?

C hili ni gumu wengi huishi kutokana na histora na si wemaia ya ulikotoka maumivu na furaha na mara nyingi huchukuliwa taadhari kwa ubay
 
C hili ni gumu wengi huishi kutokana na histora na si wemaia ya ulikotoka maumivu na furaha na mara nyingi huchukuliwa taadhari kwa ubay
Maisha Kazi kweli kweli!
 
Tatizo ni kwamba nafasi ya mke na suala zima la haki ni subjective, yaani hakuna standard kwa hiyo namna wewe unavyoiangalia ndoa unaweza kuona ni sawa kabisa mke kuwa level sawa na mume lakini kwa mwingine asione sawa. Na lawyers wengi wa kike ndoa zinawashinda kwa sababu generally wanaume wengi kama sio wote wanaamini kuwa wana mamlaka juu ya mke, kitu ambacho lawyers hawakubali maana wao wanaamini ndoa ni partnership, na hapo ndio tatizo linapoanzia Upooooo?

Sasa hapo tatizo ni u-lawyer au tatizo ni la mwanaume mwenyewe! Honestly, kwani nyie mnapenda kuishi na mwanamke anayezitambua haki zake?? Why? Maisha yenu ni sawa na wale raia waoga hata wakimuona polisi wanaanza kutetemeka!
 
Wewe nadhani utakuwa loya tu lol. haki ya nani vile nina uhakika wa 99%
 
Khaaaaaa!
Usijali babu jana alisoma na namna nilivyoshambuliwa,
Mpaka kanionea huruma jion lzm nimshawishi ajiunge japo aliogopa sn alivyoona baadhi ya watu walivyotoa mapovu!

Pole kwa mashambulizi aisee, hao watu wala wasikudiscourage na hiyo allergy yao ya kitradition!!! 'Me' ni jinsia tu tena wengi wao ndo wanyanyasaji, hivi unadhani waloanzisha mtindo walibwata ni wajinga??
 
Nishapoa mamito,
Wala hawanishuhulishi hawa,hasa hasa wananikomaza tu,
Unajua humu watu wana uhuru wa kuandika watakavyo na hatujuana yani ni raha tu!
 
Back
Top Bottom