Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Vipi, lini mtaanza kurun away from wanawake masoldier au teyari mshaanza??


mbona hiyo kwa sasa inatokea na wengine kuchelewa hadi wanaoa ndo wanakimbia
 
Pendo la kweli linatoka moyoni, na mapato ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu. Namshangaa huyo kijana toka Egoli anavyositushwa na mshahara, it is just a number!!! Angesoma penzi la mwenzake likoje, halafu ndipo angepima na kuchukua uamuzi mgumu!!!
 
Reactions: BPM
Penzi halina uhusiano wowote ule na Pesa.

Jamaa hajampenda huyo mdada.

Mdada achape lapa, atapata anayempenda.:smash:

Asprini...umeshirikisha ubongo kuongea au unatutania tu hapa?
 
Ya nini kukimbia?! mke ni mke tu utajiri wake ataringa nao akiwa bank, akirudi nyumbani anabaki kuwa mke na mimi mume.Period
Na kwenye 6x6 ndio atajua kama mimi ni mume au vipi. Huyo jamaa ni boya wa karne
 
Habari yako my Big Shem,
Nina ruhusa zote mkuu,na wala siwezi pigwa kbs,na mume niapata tu,coz my dia kloro keshatangaza nia lol!

hiyo ni nia tu na unamjua Kloro anavoruka mithili ya digidigi....lol
 
Hivi we mwanamke ndo rafikiyo kakutuma uje kusimulia huku eeh!Kwa taarifa yenu sikukimbia samani na vitu vyake but nilikuta ana k kubwa kwenye 6*6
 
Fedha si tatizo kama hiyo neema ya wife imekuja mkiwa tayari kwenye ndoa. Lakini ndoa za watu wenye tofauti kuuubwa ya kipato, mwanamke akiwa nazo ina possibility kubwa ya kuwa na migogoro. Si sababu kuwa mwanamke atakuwa jeuri; ila ni mwanamme kuto kujiamini, na si nini wala nini ni nature!

Ukioa mwanamke ambaye kwa kipato hakuna difference kubwa hata akija kuzifuma huwezi kumuona ni another person kwani mshafahamiana na tatizo la inferiority linakuwa si kubwa kama alomkuta nazo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…