BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 576
Vipi, lini mtaanza kurun away from wanawake masoldier au teyari mshaanza??
mbona hiyo kwa sasa inatokea na wengine kuchelewa hadi wanaoa ndo wanakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi, lini mtaanza kurun away from wanawake masoldier au teyari mshaanza??
Dah!hapa kila mtu na akili yake yakimkuta anapambana nayo ukishindwa nduki kali lol!
Vipi, lini mtaanza kurun away from wanawake masoldier au teyari mshaanza??
Yale yaleee......usiongee kidogo ushapachikwa cheo! Wewe unanifahamu???
Penzi halina uhusiano wowote ule na Pesa.
Jamaa hajampenda huyo mdada.
Mdada achape lapa, atapata anayempenda.:smash:
Rafiki ninakusalimu.....hope wewe na your sweet ni wazima. Nimewamiss sana...
Habari yako my Big Shem,
Nina ruhusa zote mkuu,na wala siwezi pigwa kbs,na mume niapata tu,coz my dia kloro keshatangaza nia lol!