kinaitwa HSG..Kinauma balaaaa so get prepared.Ni kipimo cha kuangalia mirija kama imeziba au ina kasoro yoyote au lah..Maumivu yake usipime mwanawane tena ukikuta mpimaji wa jinsia ya kiume acha kabisa maana ukimwambia naumia hata hajali..Wishing u luck and baby dust.
knaitwa HSG hysterosalpingiography.ni kipimo kinachotumia mionzi ya xray kuangalia njia za mfumo wa uzazi kwa wanawake tu.dawa inaingizwa kupitia uken na ina ascend ktka njia ya uzaz.wakat huo huo pcha za xray znachukilwa kujua chanzo cha tatizo.