msaada tafadhali,kuhusu kipimo cha H2G,

msaada tafadhali,kuhusu kipimo cha H2G,

Eselo

Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
41
Reaction score
9
naombeni mnieleze hichi kifaa cha h2g kwa wanawake kinasidiaje mwanamke ambae hana mtoto kupata mtoto,maana sielewi ni nini,msaada wakuu
 
kinaitwa HSG..Kinauma balaaaa so get prepared.Ni kipimo cha kuangalia mirija kama imeziba au ina kasoro yoyote au lah..Maumivu yake usipime mwanawane tena ukikuta mpimaji wa jinsia ya kiume acha kabisa maana ukimwambia naumia hata hajali..Wishing u luck and baby dust.
 
knaitwa HSG hysterosalpingiography.ni kipimo kinachotumia mionzi ya xray kuangalia njia za mfumo wa uzazi kwa wanawake tu.dawa inaingizwa kupitia uken na ina ascend ktka njia ya uzaz.wakat huo huo pcha za xray znachukilwa kujua chanzo cha tatizo.
 
Back
Top Bottom