Msaada tafadhali kuhusu kusita siku za mwezi kwa mwanamke

Msaada tafadhali kuhusu kusita siku za mwezi kwa mwanamke

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, naomba ufahamu ni sababu zipi zinazopelekea mwanamke akakosa siku zake za hedhi tofauti na anapokiuwa mjamzito?
 
Huwa inatokea.......hebu awahi hospital mapema.......

Dr Preta..
 
Matabibu umewafikia kwa ufumbuzi zaidi?
 
Km unatumia vidonge,sindano,vijiti na mengineyo kwa ajili ya kupanga uzaz,weng wao huwaletea madhara ya kutoona hedh zao hata miez2 mpk 3 mwisho wa cku unapata cervical cancer,km unatumia jthd kuacha,km hutumii wah hosptl for checkup!
 
Back
Top Bottom