Msaada tafadhali kuhusu ugonjwa wa (tb)

Toffee

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
80
Reaction score
25
"Heshima kwenu Wakuu"

Naomba kujuzwa kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu.

Ikiwa Mme au Mke kapima na kugundulika kua ana TB na kuanza matibabu, je anaweza kumwambukiza mwingine ambae hakua na maambukizi?

Natanguliza shukurani kwenu Wataalam.
 
Akianza doze...wiki mbili tu zikipita anakuwa hana uwezo wa kuambukiza tena. Ila nimuhimu kujikinga...kwa kuchukua precaution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…