Toffee Member Joined Apr 21, 2013 Posts 80 Reaction score 25 Aug 11, 2014 #1 "Heshima kwenu Wakuu" Naomba kujuzwa kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu. Ikiwa Mme au Mke kapima na kugundulika kua ana TB na kuanza matibabu, je anaweza kumwambukiza mwingine ambae hakua na maambukizi? Natanguliza shukurani kwenu Wataalam.
"Heshima kwenu Wakuu" Naomba kujuzwa kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu. Ikiwa Mme au Mke kapima na kugundulika kua ana TB na kuanza matibabu, je anaweza kumwambukiza mwingine ambae hakua na maambukizi? Natanguliza shukurani kwenu Wataalam.
S Sir Lugoje Senior Member Joined Jan 9, 2014 Posts 169 Reaction score 54 Aug 17, 2014 #2 Akianza doze...wiki mbili tu zikipita anakuwa hana uwezo wa kuambukiza tena. Ila nimuhimu kujikinga...kwa kuchukua precaution.
Akianza doze...wiki mbili tu zikipita anakuwa hana uwezo wa kuambukiza tena. Ila nimuhimu kujikinga...kwa kuchukua precaution.
Toffee Member Joined Apr 21, 2013 Posts 80 Reaction score 25 Aug 21, 2014 Thread starter #3 Sir Lugoje said: Akianza doze...wiki mbili tu zikipita anakuwa hana uwezo wa kuambukiza tena. Ila nimuhimu kujikinga...kwa kuchukua precaution. Click to expand... Nashukuru kwa ushauri wako Mkuu.
Sir Lugoje said: Akianza doze...wiki mbili tu zikipita anakuwa hana uwezo wa kuambukiza tena. Ila nimuhimu kujikinga...kwa kuchukua precaution. Click to expand... Nashukuru kwa ushauri wako Mkuu.
Y Ynamo Member Joined Aug 14, 2013 Posts 21 Reaction score 6 Aug 21, 2014 #4 apime na kipimo kikubwa pia
Toffee Member Joined Apr 21, 2013 Posts 80 Reaction score 25 Sep 25, 2014 Thread starter #5 Ynamo said: apime na kipimo kikubwa pia Click to expand... Alisha pima, tatizo ni hilo tuu! Asante kwa ushauri wako!
Ynamo said: apime na kipimo kikubwa pia Click to expand... Alisha pima, tatizo ni hilo tuu! Asante kwa ushauri wako!