Msaada tafadhali kuna njia yoyote isiyo na madhara ya kuongeza ukubwa wa matiti?

Msaada tafadhali kuna njia yoyote isiyo na madhara ya kuongeza ukubwa wa matiti?

Kuna wadudu fulani muda wote huwa wanazunguka kwenye maji yaliyotulia. Ukifanikiwa kumkamata msogeze kwenye chuchu za titi la mkeo. Yule mdudu atamuuma. Nasikia hapaumi sana. Fanya hivyo kwenye titi la pili. Baada ya wiki moja utaona mambo yanavyobadilika.



mhh uo uwongo
izo adith tulikuwa tunaambiana zaman wakat ut watoto ..ukitaka kua na mamnyonyo makubwa kamchukue mdudu maji mweke kwenye nyonyo afu maziwa yatakuwa makubwa km ya dada esta.....uwongo

aende kwa wachna

bt y?
mpende ivo ivo
 
pole kwa yanayokusibu ila kumbuka uumbaji wa mungu huwa haukosolewi na binadamu. kuna ambao hawakupewa hata hayo madogo aliyenayo mkeo, hivyo shukuru kwa kila jambo,

ningekushauri umpende mkeo jinsi alivyo, pia siku hizi kuna sidiria ambazo zinasponji kwa ndani ambazo hufanya matiti kuonekana mabukwa ili mnapotaka kutoka unaweza pia ukamshauri awe anavaa hizo sidiria ili awe na mvuto zaidi yawezekana unakereka sana anapovaa nguo kifua kinakuwa flat kama mtoto mdogo, pole sana.
 
Wapendwa,
Mke wangu nimeishi nae kwa miaka tisa na Mungu ametujalia watoto watatu. Kinachoninyima raha ni udogo wa matiti ya mke wangu. Anapokuwa na mimba na anaponyonyessha huwa yanakuwa makubwa na yanapendeza sana. Lakini miezi michache baada ya kumwachisha mtoto huwa yanarudi kuwa madogo sana. Je, kuna njia ya asili au dawa isiyo na madhara ya kukuza matiti? Msaada tafadhali. Am serious!

Japo sio jambo ambalo naweza kukushauri, lakininkuna watu huwa wanachukia viungo flani katika miili yao, na hili ni tatizo baya sana la kisaikolojia. Kuna watu wameshajaribu kukata viungo vyao mfano matiti kwa viwembe! Kuna mtu ameshakata mkono wake ukatolewa kabisa adn he is happy about it! Kwa hiyo usifanye mzaha. Kama ni wewe ndio unamshinikiza apate matiti makubwa...Tafadhali acha, unaweza kumpelekea katika adha hiyo ya kuchukia hicho kiungo chake muhimu, learn to live with it! Lakini kama ni yeye mwenyewe anatamani matiti makubwa, then take it serious maaan, kwa sababu anaweza tumia njia nyingine (mfano kichina) bila wewe kujua na akapata matatizo makubwa.

Kama kweli unadhani kuna ulazima wa yeye kupata matiti makubwa....tafadhali sahau kuhusu kutumia dawa za kienyeji au hata za kisasa za kukuza matiti. Mara nyingi kama sio mara zote matokeo yake huwa mabaya. Baya zaidi ni kuwa matiti yanakuwa makubwa bila kulingana...unakuta la kushoto mzigo na la kulia dogo, I think thats worse than just having 2 symetrically similar breasts!

Upasuaji ndio njia ninayoona salama zaidi kiafya katika kukuza matiti. Upasuaji unatumia silicon ambayo inawekwa kwenye matiti na unachagua size unayopenda, na ndio inakuwa hiyo hiyo (not more, not less), na hakuna uwezekano wa titi moja kuwa kubwa kuliko lingine. Tatizo ni kwamba ukishafanya upasuaji kukuza titi, basi huwezi kunyonyesha tena..kwa hiyo kama bado mna mpengo wa kuzaa subiri kwanza mpaka mmalize uzazi!
 
Yani we una bahati kweli aisee.. Huyo mkeo ana umbile zuri ajabu! Kwa nijuavyo, mwanamke mwenye matiti madogo huku nyuma anakuaga 'mashallah' halafu u dont hav 2 wake up one day uje uzitafute ngoma kiunoni! Mshukuru Mungu. Jioni hii mtoe out.
 
Back
Top Bottom