Utapeli short and clear...Tafadhali wapendwa, tarehe 22 Septemba niliona tangazo la ajira ya Field Officer katika NGO ya AIDS Care Foundation. Baadaye nilitumiwa barua pepe kwa ajili ya kuendelea na mchakato wa ajira.
Hata hivyo, katika hatua hiyo nimeelekezwa kufanya assessment kupitia kampuni nyingine, na cha kushangaza zaidi nimeambiwa ili nifanyiwe assessment hiyo natakiwa kulipa kupitia USSD Sh 60,000, Sh 70,000 au Sh 80,000.
Naomba msaada kutoka kwa mtu yeyote anayefahamu kuhusu mchakato huu au aliyewahi kupitia hatua kama hii. Je, hii ni sehemu halali ya mchakato wa ajira au kuna uwezekano wa kuwa ni utapeli?
Mwenye taarifa au uzoefu kuhusu suala hili, tafadhali atupe mwanga.
Noted mkuuMatapeli. Hakuna NGO itakutoza pesa katika mchakato wa kupata ajira.
Tunakushauri hapa lakini si ajabu utaendelea na mchakato huu na mwisho utaishia kupigwa. Yaani hakuna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayetaka kutapeliwa 😂😂😂
Mimi pia niliomba na nimepokea Email kama yako. Nimefuatilia nikagundua kuna watu wameingia kwenye mfumo wa AID CARE FOUNDATIONHabari, nina imani mko salama wakuu. Samahani naomba kuuliza kama humu ndani kuna mtu pia katumia ujumbe wa email kutoka shirika la afya linalojiita Aids Care Foundation (ACF).
Mimi nimepokea ujumbe wao wakisema CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SHORTLISTED " na maelezo mengine lakini wakiwa wameweka vigezo vyao pale ambavyo vinakudai uingie kwenye link ulipie. Then wameambatanisha na Fomu maalum ya New staff kwaajili ya kujaza.
Ke wana JF kuna mtu mwingine amepata huo ujumbe?
Hiyo NGO haipo kwanza. Nimejaribu kufuatilia hao jamaa ni matapeli tuHao ni matapeli
Wanatoa ajira bila kutoa hela ya kuomba kazi wala ya afya
Tafuta Tovuti yao moja kwa moja
AIDS Care Foundation Careers website
Hiyo NGO haipo kwanza. Nimejaribu kufuatilia hao jamaa ni matapeliHao ni matapeli
Wanatoa ajira bila kutoa hela ya kuomba kazi wala ya afya
Tafuta Tovuti yao moja kwa moja
AIDS Care Foundation Careers website
Shukran mkuu nimeonaHao ni matapeli
Wanatoa ajira bila kutoa hela ya kuomba kazi wala ya afya
Tafuta Tovuti yao moja kwa moja
AIDS Care Foundation Careers website
Bora hujapigwa aiseeHiyo NGO haipo kwanza. Nimejaribu kufuatilia hao jamaa ni matapeli tu
Me mwenyewe nimetumiwa sasa ndo niko nawaza hapa ni kweli au?Habari, nina imani mko salama wakuu. Samahani naomba kuuliza kama humu ndani kuna mtu pia katumia ujumbe wa email kutoka shirika la afya linalojiita Aids Care Foundation (ACF).
Mimi nimepokea ujumbe wao wakisema CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SHORTLISTED " na maelezo mengine lakini wakiwa wameweka vigezo vyao pale ambavyo vinakudai uingie kwenye link ulipie. Then wameambatanisha na Fomu maalum ya New staff kwaajili ya kujaza.
Ke wana JF kuna mtu mwingine amepata huo ujumbe?
Wezi tuMe mwenyewe nimetumiwa sasa ndo niko nawaza hapa ni kweli au?
Niliona wanasema kufanyiwa assesment unatakiwa kulipia... Ndio niliposhtuka lakini isingekuwa hivyo, nilikuwa naingia kingBora hujapigwa aisee
Siku hizi majizi yamejaa
Me mwenyewe nimetumiwa sasa ndo niko nawaza hapa ni kweli auHabari, nina imani mko salama wakuu. Samahani naomba kuuliza kama humu ndani kuna mtu pia katumia ujumbe wa email kutoka shirika la afya linalojiita Aids Care Foundation (ACF).
Mimi nimepokea ujumbe wao wakisema CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SHORTLISTED " na maelezo mengine lakini wakiwa wameweka vigezo vyao pale ambavyo vinakudai uingie kwenye link ulipie. Then wameambatanisha na Fomu maalum ya New staff kwaajili ya kujaza.
Ke wana JF kuna mtu mwingine amepata huo ujumbe?
Daaah me nkajua nimepata kazi aisee😮💨Wezi tu
Mimi nilivyoona email kwanza nilifurahi kinooma ila baada ya kuona assesment ya kulipia nikasema huu uhuni... Uzuri pia watu wa JF hapa wametoa majibu mazuri kuwa huu ni uhuni, ni wezi..Me mwenyewe nimetumiwa sasa ndo niko nawaza hapa ni kweli au
Daaah me nkajua nimepata kazi aisee😮💨