Msaada tafadhali kwa wajuzi wa computer

Msaada tafadhali kwa wajuzi wa computer

Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu?
 
Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu?
Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine.
 
Back
Top Bottom