niliwahi kusikia kuna dawa au sindano unaweza kutumia ili usiwe na hamu ya kufanya ngono,nilikuwa naomben maelezo kama kuna huduma hii ya kuzuia kufanya ngono labda kwa kipindi fulani hivi,na ni hospitali ya aina gani naweza kwenda.nimechoshwa na matamanio ya mwili wangu mpaka na fanya vitu vya ajabu sio kupiga punyeto sio kuota fanya ngono najikojolea mpaka sasa nimeshalala na mke wa mtu mwishowe madhara makubwa yatanikuta naomben msaada jamani. kila la heri.