msaada tafadhali kwa wataalamu wa uzazi hususani kwa mwanaume.

msaada tafadhali kwa wataalamu wa uzazi hususani kwa mwanaume.

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
niliwahi kusikia kuna dawa au sindano unaweza kutumia ili usiwe na hamu ya kufanya ngono,nilikuwa naomben maelezo kama kuna huduma hii ya kuzuia kufanya ngono labda kwa kipindi fulani hivi,na ni hospitali ya aina gani naweza kwenda.nimechoshwa na matamanio ya mwili wangu mpaka na fanya vitu vya ajabu sio kupiga punyeto sio kuota fanya ngono najikojolea mpaka sasa nimeshalala na mke wa mtu mwishowe madhara makubwa yatanikuta naomben msaada jamani. kila la heri.
 
Hilo ni Pepo, mtafute mtaalamu "Prof water long" atakusaidia.
 
Back
Top Bottom