Hilo ni Chango la Kizazi inaonyesha wewe hujazaa utakapo zaa tatizo lako litaondoka Jaribu kutumia dawa yangu hii Dawa ya Chango la tumbo Tumia kalkaariyat changanya na kamun Aswadi. Uipate dawa ya kalkariyati ya unga chota vijiko 2 Kisha chemsha kwa maji vikombe 3 kisha yakauke yabaki 2Kunywa kimoja asubuhi na kimoja usiku.Habari Jf doctors,
Naomba msaada,kila ifikapo baby days naumwa sana tumbo la chini ya kitovu upande wa kushoto na wa kulia,inakuwa kama mirija ina vidonda na kusababisha kiuno chote kuuma.
Na mara maumivu yanapopungua huko nashindwa kukaa maana nikikaa kunakuwa na kitu kinachoma kutoka sehemu ya haja kubwa kuja kwenye tumbo chini ya kitovu,ambacho hunipa maumivu makali pia.
Tafadhali nisaidieni nifanyeje maana nimeteseka sana na hospital hawaoni chochote,huwa wananipa dawa za maumivu tu.
Mkuu Ibradehustler Naona umeniita , wakipona hawa tunaowapa Dawa haleti Feedback. Basi hata kutujibu Mkuu MziziMkavu ile Dawa yako uliyonipa imenisaidia ninashukuru hawasemi maneno hayo kwao ni Big Deal ndio walivyo Wa-Danganyika.
Hilo ni Chango la Kizazi inaonyesha wewe hujazaa utakapo zaa tatizo lako litaondoka Jaribu kutumia dawa yangu hii Dawa ya Chango la tumbo Tumia kalkaariyat changanya na kamun Aswadi. Uipate dawa ya kalkariyati ya unga chota vijiko 2 Kisha chemsha kwa maji vikombe 3 kisha yakauke yabaki 2Kunywa kimoja asubuhi na kimoja usiku.
Fanya hivyo siku 11.Utapona
Asante sana,ila mm nimeshazaa watoto 2,ni kweli nikijifungua tatizo huwa linapotea kama miaka 2 alafu linarudi tena,limenichosha kwakweli.hiyo dawa inapatikana wapi?
Dawa zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kisuna kaulize utapata kama upo Mjini Dar nenda kariakoo karibu na Soko kuu la kariakoo kuna maduka ya dawa za kisuna kaulize utapata huko.Hilo ni Chango la Kizazi inaonyesha wewe hujazaa utakapo zaa tatizo lako litaondoka Jaribu kutumia dawa yangu hii Dawa ya Chango la tumbo Tumia kalkaariyat changanya na kamun Aswadi. Uipate dawa ya kalkariyati ya unga chota vijiko 2 Kisha chemsha kwa maji vikombe 3 kisha yakauke yabaki 2Kunywa kimoja asubuhi na kimoja usiku.
Fanya hivyo siku 11.Utapona
Asante sana,ila mm nimeshazaa watoto 2,ni kweli nikijifungua tatizo huwa linapotea kama miaka 2 alafu linarudi tena,limenichosha kwakweli.hiyo dawa inapatikana wapi?
Dawa zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kisuna kaulize utapata kama upo Mjini Dar nenda kariakoo karibu na Soko kuu la kariakoo kuna maduka ya dawa za kisuna kaulize utapata huko.
Asante sana mkuu