Habari Jf doctors,
Naomba msaada,kila ifikapo baby days naumwa sana tumbo la chini ya kitovu upande wa kushoto na wa kulia,inakuwa kama mirija ina vidonda na kusababisha kiuno chote kuuma.
Na mara maumivu yanapopungua huko nashindwa kukaa maana nikikaa kunakuwa na kitu kinachoma kutoka sehemu ya haja kubwa kuja kwenye tumbo chini ya kitovu,ambacho hunipa maumivu makali pia.
Tafadhali nisaidieni nifanyeje maana nimeteseka sana na hospital hawaoni chochote,huwa wananipa dawa za maumivu tu.