In short akifanya kazi yoyote ya kuinama kama, kufua, kudeki, kufagia uwanja yaan atalalamika kiuno na anableed kama hedh, smtms hutoka uchafu kwny uke km mabonge mabonge flan ya dam. mwaka jana tulipoend hsptl dkt alisema kuna uvimbe ulianza kwny njia ya uzaz akamtibu na kuchoma sindano ya kuzuia bleed na kuondoa uvimbe. baadaye akapumzika km miez8 hivi, sasa tatizo limejirudia tena, tuliporudi hsptl kuchek km kuna uvimbe tena ultrasaund ilionyesha normal akachomwa tu sindano ya kukausha damu. baada ya mwez mmoja tatizo limeanza tena yaan hakuna raha kabisa yeye ndo amekata tamaa kabisa nikimshauri turudi hospital hataki. ndo nikaja jf kuomba ushauri/msaada kama kuna anayejua dawa ya asili au ya kitaalam anisaidie ninunue na kumshawishi kunywa ili kumaliza tatizo hili. asante.