Msaada tafadhali mke wangu anaumwa!

Msaada tafadhali mke wangu anaumwa!

Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo hili na tiba yake naomba mnisaidie maana hata huduma sipati.

Nenda hospitali kubwa kawaone gynacologist namaanisha hospitali za mikoa au wilaya na kama uko dar nenda hospitali yoyote kubwa uwatafute hao magynacologist thy might help
 
Back
Top Bottom