Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo hili na tiba yake naomba mnisaidie maana hata huduma sipati.