NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Pia yawezekana ni psychological disorders, anaweza akawa anahusisha tendo la ndoa na matukio yasiyo mazuri huko zamani (utotoni?). Madaktari watamsaidia.
Ahahahahaaaah kwa kweli kuna tatizo tena kubwa. Bora ingejulikana labda kwa sababu zinazojulikana kama vile kumfumania mwenzake.....siamini kuwa she and he wanaweza kulala more tha 1month bila tendo,,thats cant happen lazima kuna mushkel flani hivi...
Ahahahahaaaah kwa kweli kuna tatizo tena kubwa. Bora ingejulikana labda kwa sababu zinazojulikana kama vile kumfumania mwenzake.....
inashangaza kidogo ndoa ya miaka 4,jee umri wa huyo dada ni miaka mingapi?mara nyingi wanawake wakishaolewa kwa muda mrefu,ingawa sio wote lakini asilimia kubwa ,kama ndoa ya miaka 15,mara nyingi suala la unyumba huwa hawalipendi kabisa.linakuwa sio kitu cha first priority kwao,tofauti na wanaume.mara nyingi wanawake majukumu wanayaweka zaidi kuhusu mambo ya family,wengi wanasema hayo mambo ya unyumba miaka nenda miaka rudi yanawachosha.Akae nae mwenyewe amuulize kiutaratibu,au laa ajaribu kumsurprise mke wake waende kama hoteli week end na walale huko huko maybe huyo mwanamke hamu itamjia.kabla ya mchezo huyo mwanamme ampe massage mke wake ya nguvu na ajaribu kumbembeleza haswa,na wakiwa huko asisahau pia kumnunulia zawadi yoyote ndogo kabla ya massage ampe zawadi,mambo mbona yapo mengi ya kujaribu?sitaki kuandika meeeengi nikawachosha wasomaji
Katika vikao vya kifamilia wikiendi iliyopita kulikuwa na kesi iliyoletwa na kaka yetu mkubwa kwa wazee ili kupata ufumbuzi wa tatizo katika ndoa yake. Cha kushangaza wazee waliishia kucheka na kututaka vijana tuliokuwepo pale tumsaidie kaka, tukishindwa ndio tuwapelekee wao eti hilo lipo juu ya uwezo wetu. Tulibaki tumepigwa na butwaa na kikao kikafungwa hadi siku nyingine tena.
Kesi yenyewe ni kuwa jamaa mkewe hajisikii kabisa hamu ya kufanya mapenzi na jamaa anasema ni mwezi wa tatu hajapata haki yake ya ndoa. Na akiomba mchezo kwa mkewe inakuwa ni ugomvi na kuonyesha msisitizo muda wa kulala mkewe anapiga c...pi, tait, na jinzi na mkanda juu(hali ya hewa inaruhusu). Kwa kuwa hapa kuna wataalamu wa mambo haya nadhani tutapata japo pa kuanzia kwa ushauri utakaotolewa hapa.
Nawasilisha.
Hafu nasikia mkishaamuaga kukaa kimya hata mkinunuliwa gani ...........hamna kitu hahah Lazima jaama alishajaribu kuongea nae ndio maana akaenda kwa wakwe. Hizi ndio nanahii anaziita bakora za ndoa............. hahah na hapa jamaa akichepuka tu anakesi tena mbaya tu hahahhhmambo mengi yanachangia kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa...
1.stress zinazotokana na kazi au majukumu ya kulea watoto..
2.anatumia dawa zinazoaffect hormones kama ant-psychotic drugs..
3.mume hajui jinsi ya ku-initiate sex kwa mkewe,anafanya kama anaomba vile...sasa mkewe kavumilia kufanya vitu kama utaratibu(routine)..amechoka..
4.maudhi.....(lack of communication)..eg amegundua jambo la mumewe ambalo hayuko happy nalo,na hawezi kumuambia...hio inakuwa kama njia ya kusend ujumbe..
cha kufanya,hatuwezi kujua afanye nini mpaka tujue root ya tatizo...
1.rudisha mambo yawe,kama kile kipindi mnatongozana...amtoe out,amtumie msg za mapenzi ,amsifie kama kapendeza etc
2.atafute njia ya kuongea na mkewe,wavunje ukimya wazungumze...ili mkewe aspeak up her mind kama kuna jambo huyu bwana alimuudhi amuombe msamaha yaishe,ili asitumie sex kama njia ya kumuadhibu..
3.atafute msaada,km ni housegirl hapo nyumbani wa kumsaidia mama kazi za nyumbani,wengi wanachoka kubalance kazi za nyumbani na kazi za kuingiza kipato...akipata msaada hata unyumba anatoa ushirikiano
4.abadilishe mazingira ya kufanya sex,atafute weekend abook hotel labda nje ya mji,,,huko ndiko wakaduu
5>atafute wataalamu,wamfundishe mbinu jinsi ya kuinitiate sex,na mbinu na mitindo mbali mbali ya kufanya sex ili mkewe asikinai
:redfaces::redfaces:
Hafu nasikia mkishaamuaga kukaa kimya hata mkinunuliwa gani ...........hamna kitu hahah Lazima jaama alishajaribu kuongea nae ndio maana akaenda kwa wakwe. Hizi ndio nanahii anaziita bakora za ndoa............. hahah na hapa jamaa akichepuka tu anakesi tena mbaya tu hahahhh