mambo mengi yanachangia kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa...
1.stress zinazotokana na kazi au majukumu ya kulea watoto..
2.anatumia dawa zinazoaffect hormones kama ant-psychotic drugs..
3.mume hajui jinsi ya ku-initiate sex kwa mkewe,anafanya kama anaomba vile...sasa mkewe kavumilia kufanya vitu kama utaratibu(routine)..amechoka..
4.maudhi.....(lack of communication)..eg amegundua jambo la mumewe ambalo hayuko happy nalo,na hawezi kumuambia...hio inakuwa kama njia ya kusend ujumbe..
cha kufanya,hatuwezi kujua afanye nini mpaka tujue root ya tatizo...
1.rudisha mambo yawe,kama kile kipindi mnatongozana...amtoe out,amtumie msg za mapenzi ,amsifie kama kapendeza etc
2.atafute njia ya kuongea na mkewe,wavunje ukimya wazungumze...ili mkewe aspeak up her mind kama kuna jambo huyu bwana alimuudhi amuombe msamaha yaishe,ili asitumie sex kama njia ya kumuadhibu..
3.atafute msaada,km ni housegirl hapo nyumbani wa kumsaidia mama kazi za nyumbani,wengi wanachoka kubalance kazi za nyumbani na kazi za kuingiza kipato...akipata msaada hata unyumba anatoa ushirikiano
4.abadilishe mazingira ya kufanya sex,atafute weekend abook hotel labda nje ya mji,,,huko ndiko wakaduu
5>atafute wataalamu,wamfundishe mbinu jinsi ya kuinitiate sex,na mbinu na mitindo mbali mbali ya kufanya sex ili mkewe asikinai
:redfaces::redfaces: