vickboy.com
Member
- Jul 29, 2013
- 85
- 23
habarin wana jf. nina mdogo wangu alichaguliwa chuo cha mpwapwa lakin hajaripot mpaka sasa kutokana na kutafuta mahitaji pamoja na ada. But now amepata ila wasiwasi wake huko chuoni atapokelewa!? maana chuo kimefunguliwa toka trh 6 mwez wa 10. Pia naomba mweny namba ya mkuu wa chuo au makamu au academic. Nisaidieni tafadhali.