Natumaini wote hamjambo, mimi pia sijambo, TUMSHUKURU MUNGU,
Wadau nafikiria kufanya biashara ya tigo pesa na M-pesa, nataka kujua mtaji wa biashara hii,changamoto na faida ya biashara hii, eneo ni stand ya mabasi, naomba ushauri wadau, MUNGU AWABARIKI WOTE, Asante