GARETHBALE
Member
- Dec 22, 2013
- 76
- 333
Natumaini wote hamjambo, mimi pia sijambo, Tumshukuru Mungu.
Wadau nafikiria kufanya biashara ya Tigopesa na M-pesa, nataka kujua mtaji wa biashara hii, changamoto na faida ya biashara hii, eneo ni stand ya mabasi, naomba ushauri wadau.
Mungu awabariki wote.
Asante.