Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,723 Reaction score 7,408 Aug 25, 2017 #41 dimaa said: Kwa wale walioko kibaigwa msaada wa bei ya Mahindi kwa kilo tafadhalini sana. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Watu wanazungumzia pikipiki, wewe unakuja na mahindi sijui kibaigwa. Umekula maharagwe ya wapi?
dimaa said: Kwa wale walioko kibaigwa msaada wa bei ya Mahindi kwa kilo tafadhalini sana. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Watu wanazungumzia pikipiki, wewe unakuja na mahindi sijui kibaigwa. Umekula maharagwe ya wapi?
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Aug 27, 2017 Thread starter #42 Come27 said: Watu wanazungumzia pikipiki, wewe unakuja na mahindi sijui kibaigwa. Umekula maharagwe ya wapi? Click to expand... Mzee mm ndo mwenye uzi, soma dhamira yake vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
Come27 said: Watu wanazungumzia pikipiki, wewe unakuja na mahindi sijui kibaigwa. Umekula maharagwe ya wapi? Click to expand... Mzee mm ndo mwenye uzi, soma dhamira yake vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
Duwaa Member Joined Oct 27, 2017 Posts 32 Reaction score 6 Feb 1, 2018 #43 sonjames said: Mkuu, sitaki kabisa kusikia biashara ya pkpk, biashara hii kama utaifanya mwenyewe, namaanisha kama utaendesha mwenyewe inalipa vizuri, ila pkpk ya kumpa mtu mkuu, uuuwi, ninazo mbili nimeziweka stoo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vip...niaina gani..na je? Unaziuza..
sonjames said: Mkuu, sitaki kabisa kusikia biashara ya pkpk, biashara hii kama utaifanya mwenyewe, namaanisha kama utaendesha mwenyewe inalipa vizuri, ila pkpk ya kumpa mtu mkuu, uuuwi, ninazo mbili nimeziweka stoo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vip...niaina gani..na je? Unaziuza..