2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 224
- 109
Haja-replyUlimfata PM, alikujibuje?, kuna jamaa kamtag apo juu, nikamfata PM text zinagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haja-replyUlimfata PM, alikujibuje?, kuna jamaa kamtag apo juu, nikamfata PM text zinagoma.
Nataka nikanunue bodaboda mjini, nizingatie yapi nisije kuuziwa mbuzi kwenye gunia?Habari zenu waungwana,
Kuna biashara nilikuwa nafanya, yakuchukua mahindi hadi tone kumi kutoka mikoani, kuleta DSM. Sasa soko limeyumba kidogo hapa DSM, nikaamua kuanza kununulia hapahapa.
Ishu inakuja pale unapompa mtu mzigo , halafu kuikusanya ile pesa inachukua hadi wiki, ukiangalia faida yenyewe sio ya kuridhisha kabisa .
Kwa mfano unaweza mpelekea mtu tone 4, faida inakuwa kama 80,000 , inakaa siku tatu hadi wiki na zaidi ni hasara kwakweli.
Kuna mdau alileta uzi juzi hapa aliomba ushauri , alikuwa anataka kununua pikipiki aina ya boxer, watu wakamshauri vizuri sana, kuna mdau mmoja akamshauri kama kweli anataka kufanya biashara amtafute PM, faida sikumbuki vizuri kama sio kwa wiki ama kwa mwezi anaingiza laki nane.
Kama kuna mtu anayo hiyo link naiomba aniwekee hapa, ili nimtafute huyo jamaa.
Nawasilisha
Pamoja mzeeNataka nikanunue bodaboda mjini, nizingatie yapi nisije kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
Umeomba link naona watu wanakuyeyusha kwa kumuita mtu kwa jina. [emoji12] link hiyo[emoji115] . Utuletee feedback maana mwenyewe sijui biashara gani inalipa now. Siwezi ingia kichwa kichwa.
-callmeGhost
Tafuta bajaji boss komaa nayo mjiniHabari zenu waungwana,
Kuna biashara nilikuwa nafanya, yakuchukua mahindi hadi tone kumi kutoka mikoani, kuleta DSM. Sasa soko limeyumba kidogo hapa DSM, nikaamua kuanza kununulia hapahapa.
Ishu inakuja pale unapompa mtu mzigo , halafu kuikusanya ile pesa inachukua hadi wiki, ukiangalia faida yenyewe sio ya kuridhisha kabisa .
Kwa mfano unaweza mpelekea mtu tone 4, faida inakuwa kama 80,000 , inakaa siku tatu hadi wiki na zaidi ni hasara kwakweli.
Kuna mdau alileta uzi juzi hapa aliomba ushauri , alikuwa anataka kununua pikipiki aina ya boxer, watu wakamshauri vizuri sana, kuna mdau mmoja akamshauri kama kweli anataka kufanya biashara amtafute PM, faida sikumbuki vizuri kama sio kwa wiki ama kwa mwezi anaingiza laki nane.
Kama kuna mtu anayo hiyo link naiomba aniwekee hapa, ili nimtafute huyo jamaa.
Nawasilisha
Nipe changamoto yakeMkuu, sitaki kabisa kusikia biashara ya pkpk, biashara hii kama utaifanya mwenyewe, namaanisha kama utaendesha mwenyewe inalipa vizuri, ila pkpk ya kumpa mtu mkuu, uuuwi, ninazo mbili nimeziweka stoo
Sent using Jamii Forums mobile app
NiuzieMkuu, sitaki kabisa kusikia biashara ya pkpk, biashara hii kama utaifanya mwenyewe, namaanisha kama utaendesha mwenyewe inalipa vizuri, ila pkpk ya kumpa mtu mkuu, uuuwi, ninazo mbili nimeziweka stoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipo muelewa huyu mdau usije rudi hapa unalialia,mm binafisi bodaboda ilinisha pamoja na kuwa nilikuwa na duka la spear!Mkuu, sitaki kabisa kusikia biashara ya pkpk, biashara hii kama utaifanya mwenyewe, namaanisha kama utaendesha mwenyewe inalipa vizuri, ila pkpk ya kumpa mtu mkuu, uuuwi, ninazo mbili nimeziweka stoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie hiyo Bajaj.Huo ni udhushi faida laki nane mm ni Bajaj nimepaki nyumbani tangu march hawa madereva wanyoa viduku ni shida
Niuzie moja. Upo wapi ?Mkuu, sitaki kabisa kusikia biashara ya pkpk, biashara hii kama utaifanya mwenyewe, namaanisha kama utaendesha mwenyewe inalipa vizuri, ila pkpk ya kumpa mtu mkuu, uuuwi, ninazo mbili nimeziweka stoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bajaj ya kununua kwa mtu haitakuwa Bomu kweli ? Mm pia natamani kipata bajaji ila mpya inauzwa pesa ndefu sana kwakweliTafuta bajaji boss komaa nayo mjini
Nunua mikononi kwa watu zipo nyingi tu
Aina gani iyo ? Unauzaje km bado ipo vizuri ?Huo ni udhushi faida laki nane mm ni Bajaj nimepaki nyumbani tangu march hawa madereva wanyoa viduku ni shida
Hii biashara ngumu sanaWadau pikipiki zinalipa inategemea wewe unafanya kwa mfumo upi.
1. Mfumo wa kwanza ni wa marejesho ya kawaida ambayo huna mkataba na dereva na huwa wanaleta kwa siku wastani was tsh 7,000/= Huu sio mfumo mzuri kwasababu service na matengenezo ni juu yako mmiliki na dereva asiye mwangalifu ataiburuza piki piki mpaka iwe skrepa na utajikuta hata faida hujapata.
2. Mfumo wa pili ambao wengi tunautumia kwasasa ni wa mkataba ambao huwa inakuwa kwa miezi kumi kwa marejesho ya tsh 10,000/= kwa siku na akishamaliza mkataba pikipiki inakuwa ya kwake. Huu ni mfumo mzuri kwa kuwa dereva anakuwa makini maana mwisho wa siku hataki amiliki chombo kibovu na pia service na matengenezo ni juu ya dereva.
Kwa kifupi ni hivyo, ukipiga hesabu wastani kwa miezi kumi unaingiza kama milioni tatu na kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio biashara naifanya, na mpaka sasa ninazo tano zote zimechukuliwa kwa mkataba.