Ndio nimebadili jina ni kweliPoa poa mwambie akuje anisaidie
Lakn ckuiz umebadilika sana
Fanya mazoezi mepesi tu ya viungo...itaachiaWakuu naombeni msaada mimi ni mchezi mpira ila kwa takrbani miaezi 5 ninasumbuliwa na tatizo la nyonga nimeshauriwa kutumia aina mbali mbali za dawa za kujichua na majani ya mnyonyo na kupaka Declopar lakini tatizo bado linanisumbua naomba msaada wengu ndugu zangu
Mm nilisumbuliwa sn kwa miezi 3...nikashindwa hta kutembea...mazoezi tu. .ya viungo vinavyihusisha kiuno na miguu.....utaona faida ykePoa poa mkuu
Mkuu ulikwenda hospital?Mm nilisumbuliwa sn kwa miezi 3...nikashindwa hta kutembea...mazoezi tu. .ya viungo vinavyihusisha kiuno na miguu.....utaona faida yke
Sent using Jamii Forums mobile app