sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Wakuu naombeni msaada mimi ni mchezi mpira ila kwa takrbani miaezi 5 ninasumbuliwa na tatizo la nyonga nimeshauriwa kutumia aina mbali mbali za dawa za kujichua na majani ya mnyonyo na kupaka Declopar lakini tatizo bado linanisumbua naomba msaada wengu ndugu zangu