Msaada tafadhali: Nikiumwa kidogo tu basi nahisi kufakufa na nakosa raha nakonda

Msaada tafadhali: Nikiumwa kidogo tu basi nahisi kufakufa na nakosa raha nakonda

yani kumbe unawaza kukosa papuchi eti ndo nitaacha kukwich kwich badala uanze kutubu madhambi yako ndo kwanzaaa unazidisha, sasa kwa taarifa yako hayo ni maono kuwa utakufa kifo kibaya sna
 
Usijali utazikwa na ipad jif utaingia kama kawa
 
Back
Top Bottom